This time yuko makiniDogo ukute anatingisha kiberiti aitwe mezan amwagiwe noti nae aongeze kandarasi
Ndio mbinu zake zakuwapiga hela waarabu...Dogo ukute anatingisha kiberiti aitwe mezan amwagiwe noti nae aongeze kandarasi
Uzi wa msimu ujao wa 2023/2024.View attachment 2656976
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Nasikia PSG wanataka bwanamdogo Rodyrigo ahusike ktk deal la kumuachia Mbappe
PSG kwa sasa naona wataikimbia wengi maana inaonekana imekosa dira ya UCL.Nasikia PSG wanataka bwanamdogo Rodyrigo ahusike ktk deal la kumuachia Mbappe
Hata mm josee simkubaliBora tucheze bila kocha kuliko joseee
Naangalia mechi ya El classico ya watoto...vijana wanakipiga aisee...wakiendelea hivi hapo baadae tutakuwa na timu nzuri sana yakutoka huku chini..View attachment 2661393
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app