Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Benzema naye kaondoka. Hii project ya next season ni ngumu sana. Tusubiri tuu summer ya 2024 tushushe mbappe na endrick kuongeza nguvu.
Huwa tuna records ambazo siyo nzuri sana na wachezaji wa kiingereza...me nafikiri ni vyema tukaangalia italy au germany.Harry Kane mbona anangangania pale totenham walimzindikia madawa nini????
Don Carlo amemtaka awepo kwenye list yake
Huyu dogo angebaki hua ni super sub
Tumpe maua yake tuu asepe maana anaondoka bure mkataba umeisha. Kuna magepu tunabaki nayo mengi sanaHuyu dogo angebaki hua ni super sub
Ni kwel Super sub ila hawa wachezaji ambao wameshinda kila kitu kwa ngazi ya club ile morali/kiu yakushinda inakuwa haipo tena...ni bora tupate watu wenye kiu na wanaotaka kuweka records zaidi.Huyu dogo angebaki hua ni super sub
Alikataa offer aliyopewa na RealHuyu dogo angebaki hua ni super sub
Ametoka wapi huyu andazi shabiki wa mpira anayejenga chuki na timu club au mchezaji fulani. No hate bro enjoy the game.Madrid akifungwa nafurahi sana . Nazichukia sana Madrid na Man utd
Nacho pia nae niwakupewa mkono wa kwaheri...Team leo inacheza kukamilisha na kuaga wachezaji. Yaani coaching hii huyu mzee sijui next season itakuaje. Tunaitaji depth ya kikosi.
Nag naona psg wanataka kumpa mkataba safi kabisa
Kwamba we wajua kuliko Madrid?Bila ya Benzema mambo yatakuwa magumu sana
Kwamba we wajua kuliko Madrid?
Kile kizazi haswa kilichobeba identity ya Los blancos kinaenda kufutika , nadhani waliobakia ni modric na Cruz .Bila ya Benzema mambo yatakuwa magumu sana