Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu atakuja star yoyote ataondoka hakuna mtu ni zaidi ya timu.

Maisha ya mpira kwa klabu lazima yaendelee

sisemi timu haitaweza kuunga tena, ninachomaanisha ita straggle kwa mda kidogo mpaka itakpokuja kujiweza.

Tatizo ni kuwa kupata replacement yake ni shida sana.
 
Huwezi pata replacement ya mtu ata wewe hauna replacement.

Ndio maana hujaona club inatafuta karim benzema mwingine, bali wanatafuta mchezaji anayeweza kucheza nafasi aliyekua anacheza benzema. Ambayo ni ushambuliaji
 
kitu ushichokiona pengine ni kuwa, Benzema alikuwa aki offer ndani ya timu zaidi ya ushambuliaji. mchango wake wa ku build up mashambulizi ni mkubwa sana, kitu ambacho kinakosekana kwa washambuliaji wengi wa zama hizi. Mapego mengi ya timu katika ushambuliaji alikuwa akiyaziba, sasa inaibidi timu ijikaze katika kila position kutimza majukumu yake.
 
FB_IMG_1685985694302.jpg
 
Yah...ila awe namba 10...acheze nyuma ya atayesimama mbele pale,kwa sababu camavinga ana uwezo wakutoa pass makini.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Nakumbuka game moja ya UCL tupo madrid na Juve aseee juve walikosa foward wakamweka MATUIDI kama forward wao aseee tulitamani mpira uishe. Kiungo namba 6 akikaa kwa umakini hapo namba 9 unakuwa na mtu na nusu.
 
Yah...ila awe namba 10...acheze nyuma ya atayesimama mbele pale,kwa sababu camavinga ana uwezo wakutoa pass makini.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app

Jude ndio ana ufanisi pia nje ya box ndio atacheza hapo. Kai naye akifika pia ana ufanisi mzuri nje ya box. Rodrygo pia ana ufanisi nje ya box.

Shughuli ipo aisee, tusubiri kuona hadi preseasons mambo yatakuaje
 
kitu ushichokiona pengine ni kuwa, Benzema alikuwa aki offer ndani ya timu zaidi ya ushambuliaji. mchango wake wa ku build up mashambulizi ni mkubwa sana, kitu ambacho kinakosekana kwa washambuliaji wengi wa zama hizi. Mapego mengi ya timu katika ushambuliaji alikuwa akiyaziba, sasa inaibidi timu ijikaze katika kila position kutimza majukumu yake.

Ndio maana inaitwa team alichokua anakifanya benzema sio kwamba alikua anafanya peke yake. Uchezaji wa timu unaweza badirika kulingana na wachezaji, game plan.

Huwezi kua na striker mzuri kwenye header afu timu msitumie mipira ya cross katika kujaribu kuscore.
 
Back
Top Bottom