Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Umepewa mfano umeleta tena mada[emoji23] chief

hapana, na mimi nimeleta mfano. Real Madrid pana tatizo kubwa sana la ku create nafasi kwa Center forward. Benzema ana cover sana hilo tatizo kwa vile yeye mwenye hua ana involve vizuri kwenye build up. Jovic alifunga magoli matatu ndani ya misimu mitatu akiwa Real Madrid, wakati amefunga 13 msimu huu Fiorentina akiwa na role hiyo hiyo aliyokuwa nayo hapo real ya kuwa backup striker.
 
FB_IMG_1686126129935.jpg
 
Huwezi kukataa kilicho bora mkuu huo ndio ukweli. Ata leo perez analijua ilo
Ngoja tupo hapa mbape ataongeza tena mkataba sisi tumekaa kumsubiri. Lets move on. Dogooo atapewa jacuzi la mihela awe anaogelea kwenye note za fwedha tena. Mwarabu sijui huwa hawana cha hasara wale majamaa.
 
Back
Top Bottom