Unaongea hivyo na ikiwa unajua team ina vijana . Hahah nimecheka tuu. Ata hivyo sipo kubishana. Nikumbushe huu msimu ujao wa mwisho kwa wachezaji wetu wakubwa wakubwa.
vijana walioletwa pale hawajaja kukuzwa, wamekuja ku perform.

umeshinda mkuuSa hvi mastaa wakubwa wanakimbilia uarabuni kula hela za mafuta,naona CR7 kawatamanisha sana,ni kama wakat ule upepo wa ligi za china.Dah Big Bez amekula ofa ya Kibabe Saudi, akiicha hiyo watoto wake watakuja kumlani sana. Ila akiiacha Real Madrid Pengo lake ni gumu sana kuzibika kwa sasa.
Sa hvi mastaa wakubwa wanakimbilia uarabuni kula hela za mafuta,naona CR7 kawatamanisha sana,ni kama wakat ule upepo wa ligi za china.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Acha wakale pension mzee maana wameshinda kila kitu katika ngazi za vilabu na hatuwadai..na haswa ukizingatia umri umesogeamkuu hiyo hela inayotolewa Saudi sio ya kitoto kabisa haijawahi kutokea.

Waende tu...kikosi kisafishwe..Hazard,Mariano na Asensio byebye....Perez anasema list bado inaendelea tutegemee wengine zaidi kupewa mkono wa kwaheri
Lukaku awezi kuja na wala hayupo kwenye listKatika upuuzi ambao tutaufanya nikumleta Lukaku...hizi tetesi zibaki hivyo hivyo isiwe kwel..mtu ambaye kashindwa kufanya vizuri Man u na chelsea,huku madrid ataiwezea wapi?
Nacho nae amefunguliwa mlango.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Na iwe hivyo...maana naona ona kwenye page za tetesi za nje wanachombeza hilo.Lukaku awezi kuja na wala hayupo kwenye list