Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tchou ni best Option kwa CDM. Huwezi kabisa kulinganisha umakini wa Camavinga na Tchou kwenye hiyo position, Tchou anacheza kwa umakini wa hali ya juu sana.
Tatizo kubwa pale ni Kroos, amezeeka kwa kweli na ndio anakuwa mzigo kwa wengine.
Nakubaliana na ww kwa 100%. Ila utakunaliana na mm Tchou anakaba sana kuliko kuanzisha mashambulizi. Ila yupo njema. Tchou na Camavinga sub zao kwenye final ya wirld cup ndo iliirudisha FRENCHMEN kwenye mchezo amasivyo game ile ilikuwa inaisha first half
 
Tchou mbona alicheza dakika 120 kwenye ile mechi final.

Camavinga anahitajika ku adopt box to box position ili achukuwe mikoba ya Kroos Pale Real, halafu watafute good replacement ya Modric ili aje acheze na Vinga na Tchou pamoja. Ila Jude sio chagua sahihi, mana attcking ability yake bado sio standard ya timu kama Real Madrid, na kwa position za chini hawezi kuwaingia hao madogo wa kifaransa. Wanahitaji mtu kama Bernando Silva ama Bruno Fernandez pale ambao naamini gharama yao itakuwa ndogo zaidi na uwezo wao ni mkubwa zaidi.
 
Bernado silva sio wa bei ndogo mkuu I bet yu this time bernado silva atakuwepo kwenye top three ya baloon dior. Bei yake itakuwa mkasi ile mbaya. Bruno ndio ila shida yetu sio midfield tunao wengi sana MIDS pale hadi kuchagua inakuwa kazi. Mind yu Kovasic na Odergad wanamikataba ambayo wakitaka kuuzwa lazima real madrid afahamishwe kwanza so mido ni wa kutosha.
Tushughulikie LB RB na attackers ambao ni FALSE NINE.
 
Bro na wasi wasi huangalii mechi za real madrid camavinga na valvelde wamecheza box to box vizuri sana msimu huu mkuuu. Take tym pitia game zao uone mambo yao aseee.
HALLA MADRID
 
Mechi gani? Camavinga always amekua akicheza CDM anapocheza midfield. labda last season alicheza baadhi mechi.
 
Bernado silva sio wa bei ndogo mkuu I bet yu this time bernado silva atakuwepo kwenye top three ya baloon dior. Bei yake itakuwa mkasi ile mbaya. Bruno ndio ila shida yetu sio midfield tunao wengi sana MIDS pale hadi kuchagua inakuwa kazi. Mind yu Kovasic na Odergad wanamikataba ambayo wakitaka kuuzwa lazima real madrid afahamishwe kwanza so mido ni wa kutosha.
Tushughulikie LB RB na attackers ambao ni FALSE NINE.

Thamani ya mchezaji haitokani na uwezo wake tu, bali kuna mengi nyuma yake. Silva dau lake haliwezi hata kufika 100 m hata awemo ndani ya top 3 ya baloon Dior. Jude na Bruno wote wana thamani zaidi yake ila kiuwezo umewaacha wote.
 
Bernado silva sio wa bei ndogo mkuu I bet yu this time bernado silva atakuwepo kwenye top three ya baloon dior. Bei yake itakuwa mkasi ile mbaya. Bruno ndio ila shida yetu sio midfield tunao wengi sana MIDS pale hadi kuchagua inakuwa kazi. Mind yu Kovasic na Odergad wanamikataba ambayo wakitaka kuuzwa lazima real madrid afahamishwe kwanza so mido ni wa kutosha.
Tushughulikie LB RB na attackers ambao ni FALSE NINE.

Asensio anaondoka plus bernado kamaliza mkataba na city mwisho wa msimu. Ngoja tuone maana lazima tuwe na wingi ya pembeni.

Brahim naona kama return yake haitowezakana. Tunaweza amua muuza tukwaisha deal la winga mwingine
 
Bernado akiondoka City, basi destination ni Camp Nou. Kaeni kwa kutulia mtani. Sisi pia tunapambana na hali yetu. Kazi ya kuziba pengo la Busquets, ni kama kazi ya kuziba pengo la Modric.

Hauwezi kuliziba kwa kutumia mchezaji mmoja, you'll need a new system of several players!
 
Kwa mapendekezo yako unaona kocha gani ataendana na falsafa za Real ukimuacha Carlo?

Kwa timu inavyojengwa. Ex kocha wa bayern atapewa timu ku develop wale vijana huku akiongeza ushindani. Amekuza vijana kabla ajaenda leipzig. Timu ikafika hadi semifinal
 
Back
Top Bottom