Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Unalazimisha tu.Ndio maana nikasema bongo hakuna mashabiki pure wa La Liga ila. Ila kuna mashabiki tu wa EPL timu zao zinasuasua hivyo wakaamua kujipoza kwa kushabikia Barcelona na Madrid sababu timu za EPL nyingi zinasuasua UEFA.
👉NI NADRA KUMKUTA SHABIKI WA MADRID/BARCELONA HANA TIMU ANAYOSHABIKIA EPL. ILA NI KAWAIDA KUMKUTA SHABIKI WA EPL HASHABIKII MADRID/BARCELONA.
Sijalazimisha ndio maana nikasema ni "nadra". Wachache kama wewe ni excepton case.Unalazimisha tu.
Mimi binafsi nakushangaa kwa maana sijawai kushangilia EPL sina timu huko na sina hata mpango wa kuwa nayo.
I'm pure cule's.
Upo kama mmUnalazimisha tu.
Mimi binafsi nakushangaa kwa maana sijawai kushangilia EPL sina timu huko na sina hata mpango wa kuwa nayo.
I'm pure cule's.
Carlo Ancelotti will STAY as a Real Madrid manager next season.
Benzema, Modric and Kroos will REMAIN
Real Madrid’s squad will largely stay the same. There will be 3 incomings.
Ata akivunja matakoUzuri wa LOPEZ ni lzm atavunja benk
You're fucked up dude! Humu wana Madrid tumestaarabika mno, so behave accordingly.Ata akivunja matako
You're fucked up dude! Humu wana Madrid tumestaarabika mno, so behave accordingly.
Binafsi natamani Mourinho arudi...aliirudisha timu kwenye mstari sana na morali yakushinda nakuchukua vikombe.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Ukiangalia taarifa za kwenye vyombo vya habar kuna maboresho yatakuja,ni kama tulivyojadili kwenye jukwaa hili..kwanza kusajili beki za pembeni ikiwa hata Mendy atabaki,Modric na Kroos watakuwa wanacheza dakika chache kwa ajili yakuruhusu damu changa icheze sana,Benzema anatafutiwa mbadala wake.Next season tutakuwepo UCL nimatumaini yangu tutakutana na EUROPEAN GIANTS tena kama MAN CITY PSG CHELSEA BUYERN JUVENTUS MILANOS BARCA ATLETICO MADRID DORTMUND LIVERPOOL ARSENAL MAN UTD NAPOLI ROMA je tumejipanga vipi kusajili na kurekebisha makosa
Don carlo anasisitiza kwamba bado yupo yupo sana. Nilifikiri XABI ALONSO na RAUL GONZALEZI wangepewa mikoba ila tuendeleee kumuamini DON CARLO aendelee kutuongoza.
Team haliwezi hata kupossess mpira ,et kuvizia counter attack ...
Carlo anabebwa na bahati tu ,last season amshukuru Mungu wake ...
Pep >>>>>Carlo
Haya rudini kwenye team zenu vibwengo nyie
Sina uhakika kama Madrid wataendelea na Don carlo msimu ujao kwa soka la sasa sioni akifanya vizuri akiendelea kuwepo
Kwa mimi nafikiri anatakiwa aachie ngazi,aje Xavi alonso ambaye kaonyesha jambo huko Ujerumani..
Don carlo kafikia mwisho wa mbinu kwa sasa,inahitajika akili mpya na mipango mipya.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app