Vini yupo toka 2014 na rodridgo na militao na Rudiger na Alaba na Valverde?Inter Milan watawatoa tu, Madrid ilikuwa bovu tofauti na mwaka Jana! Pia ni hao hao tu toka 2014, hawanunui wachezaji wapya
Nunue wachezaji sasaNa eneo la kiungo,goli mbili za kwanza zimetokea kwa kroos,kroos alikuwa na Benardo,akamuacha hata kumzuia asipige hakufanya hivyo,akamuacha akapokea mpira akafunga,la pili kwa modric kasimama bernado anatoka anaenda kucheza mpira tunafungwa.
Ni maswala ya umri nakwa sababu wameshinda kila kitu,ile mizuka haipo tena.
Cha pili ushambuliaji,Benzema kwa muda sasa hayupo kwenye ubora hata wa 80%,mpira haukai mguuni,ile control hana na hata namna yakurespond kwa wenzake akiwa na mpira kwa sasa ni low sana.
Eneo lingine ni beki za pembeni na kati,pembeni hatuna mbadala ndo maana tunamrudisha camavinga acheze kushoto ilihali kulia nako akiumia Carvajall basi hatuna mtu mwingine.
Game ya jana kupoteza ni matokeo ya Carlo kupanga kikosi kile kile na style ya uchezaji ule ule wakat mwenzako misimu kadhaa nyuma ukijumlisha na uliopita unakuwa unamtoa kila mara,na unaona anakusoma ilihali sisi hatubadiliki,huwez kumtegemea Benzema au Kutegemea mipira ya vichwa/cross ilihali City alienda sokoni kununua wachezaji wa nyuma warefu,ilitakiwa pale after first leg tujifunze kuwa ile style imefail tuje na mpango mpya wakutawala eneo la kati.
However,hatuumii kufungwa na City ila tunaumia kupoteza ubingwa wetu huu wa UCL katika hatua hii ya nusu fainali na ikumbukwe hili kombe ni haki yetu nani letu na pia ndio historia yetu na ubora wetu, na ndio maana ni club bora duniani kwa karne tatu kama siyo nne mfululizo na ndio maana huwa tunalibeba back to back as much as we can.
Halla madrid.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Akichelewa kushabikia kuna ubaya?Ipo hivi.
Mtu ambaye yuko kwenye 30+ anashabikia city kuna mawili.
1. Amehama timu
2. Kama hakuhama basi alichelewa kushabikia mpira.
Sababu ni ngumu kusema mtu ambaye ameanza kufatilia mpira miaka ya 2002-2008 aliipenda city kipindi hicho, huo ni uongo, city haikuwa na mvuto wowote kipindi hicho.
Mashabiki wa city ambao ni original and die hard hawakuhama timu wapo, kwenye teenage na early 20's sababu kwa umri huo, wamekua katika kipindi ambacho city inafanya vizuri kama tu ilivyo kwa walioanza kushabikia man utd, arsenal kwenye miaka hiyo ambayo ndio zilikuwa zinafanya vizuri.
Sio kila shabiki wa city ni glory hunter.
Kama mimi tu.Una uhakika bongo hakuna mashabiki wa La liga?
Mimi ni pure cule's.
Sina timu EPL na wala sijawai kuishabikia hiyo ligi.
Sasa hii ina shida gani hata kama ni glory hunters??? Au unawapangia?Hahahaha, mkuu kuna shabiki wa city bongo yupo kwenye 40's ? Hata kwenye 30's ni ngumu.
Hao ni glory hunters tu hakuna ubishi, city fans OG wapo 20's kurudi chini.
Sasa hii ina shida gani hata kama ni glory hunters??? Au unawapangia?
Inakuuma nini?
Kuna shida gani akiwa glory hunter??
Au ndo inabadilisha matokeo ya 4 bila??
Camavinga piaVini yupo toka 2014 na rodridgo na militao na Rudiger na Alaba na Valverde?
Ujumbe mkubwa sana huu halla Madrid
We are da best team
Sina demu na Madrid
Atupisheeeeee sie khaaaah,
Brother mbona unaleta vitu ambavyo ni nje ya kilichokua kinajadiliwa?Sasa hii ina shida gani hata kama ni glory hunters??? Au unawapangia?
Inakuuma nini?
Kuna shida gani akiwa glory hunter??
Au ndo inabadilisha matokeo ya 4 bila??
Mkuu, tulichokua tunajadili na murashan galactico sio ubaya au uzuri wa mtu kuchelewa kushabikia mpira.Akichelewa kushabikia kuna ubaya?
Izo scenario zina shida gani ukizijua?Mkuu, tulichokua tunajadili na murashan galactico sio ubaya au uzuri wa mtu kuchelewa kushabikia mpira.
Tulichokuwa tunajadili ni scenarios ambazo zimepelekea kuwepo kwa mashabiki wa city bongo, hapo inabidi tuelewane.
Mtu kuchelewa au kuwahi hiyo ni juu yake.
NjooooNije pm unipe pole vizur
Yeah.Au sio
Ndio maana nikasema bongo hakuna mashabiki pure wa La Liga ila. Ila kuna mashabiki tu wa EPL timu zao zinasuasua hivyo wakaamua kujipoza kwa kushabikia Barcelona na Madrid sababu timu za EPL nyingi zinasuasua UEFA.Mvaa Kobazi umesaema ukweli mfano halisi vibanda umiza hapa bongo uweke Ac milan Vs Gerona Saa 2 usiku halafu baadae Arsenal na Hull city ,mechi ya kwanza pamoja na kuwa na advantage ya muda mzuri lakini inaweza ikawa bure na uhakika kuwa na mahudhirio machache .
Mfano kama huo unakuja hata kwa Barcelona au Real Madrid wakicheza na timu ndogo mashabiki ni wachache kucompare na timu za uingereza na hilo halipingwi isipokuwa ubishi tu.
Duuh brother,Izo scenario zina shida gani ukizijua?