Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Hii mechi tuna kazi
Japo tuna kazi ila sina wasiwasi kabisaaaHii mechi tuna kazi
Kamavinga namfananisha kama predetor kwenye movie ya AnoldiPoor approach by ancelot
Mange InstagramMwenye link wakuu
Huu upande wa Camavinga umezidiwa,ni kwa sababu kroos ambaye anawajibika kutanua wakat wakukaba ili kumpunguza speed huyu Bernado nae anarudi nyuma nakuwa kama beki na ndio maana mipira haiendi juu kwa Vin Jr,me nafikiri hapa ni angetoka Kroos au Velverde kisha aingie beki kwa asili kabisa wakushoto kisha camavinga asogee kama kiungo.Tumetepetaaaa
Kapuuzi tu kamesifiwa mechi chache kanajiona star sasaKamavinga namfananisha kama predetor kwenye movie ya Anoldi
Ndugu yangu hakuna namna tena tu, tujipange next yearHuu upande wa Camavinga umezidiwa,ni kwa sababu kroos ambaye anawajibika kutanua wakat wakukaba ili kumpunguza speed huyu Bernado nae anarudi nyuma nakuwa kama beki na ndio maana mipira haiendi juu kwa Vin Jr,me nafikiri hapa ni angetoka Kroos au Velverde kisha aingie beki kwa asili kabisa wakushoto kisha camavinga asogee kama kiungo.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
Huu upande wa Camavinga umezidiwa,ni kwa sababu kroos ambaye anawajibika kutanua wakat wakukaba ili kumpunguza speed huyu Bernado nae anarudi nyuma nakuwa kama beki na ndio maana mipira haiendi juu kwa Vin Jr,me nafikiri hapa ni angetoka Kroos au Velverde kisha aingie beki kwa asili kabisa wakushoto kisha camavinga asogee kama kiungo.
Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
