Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Screenshot_20230509_172847_Instagram.jpg
 
Uwe unaangalia mpira mzee baada ya kutoka Madrid walimiliki mpira wakanyanganywa then goli likatokea ....

Mnaingia na matokeo yenu uwanjani nin ?

Nijibu Hili, mpira ukitoka sideline unarudi ndani kwa njia gani? Jibu Hilo tu.
 
Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..

Matusi ni ufinyu wa kufikiri na kuishiwa hoja. Usianike upumbavu wako hapa.

Nimeuliza a basic football rule qn, siongelei match yeyote hapa. Iwe ndondo cup, AFCON, UEFA, EPL, ligi ya bongo au ligi yeyote ile, mpira ukitoka sideline unarudi ndani kwa njia gani? This has nothing to do with a specific football match.
 
Wewe ni mpumbavu mpira kama hukuangalia unataka nije nikueleze , kangalie tukio ..
Nilishaongeaga humu way back, hizi timu za EPL including their fans ni malimbukeni mno wa UEFA! hawa City na wenzao Chelsea plus Liverpool ikifikaga hatua za ku-qualify next round wanakuwaga na kelele sana na upumbavu mwingi mno. Jioneeni wenyewe sasa!
 
Hebu jaribu ku-challenge hoja uwawakilishe wenzio, na sio ku-insult
Watu kama Hao siwezi poteza muda kubishana nao ....

Mtu kaangalia mpira kabisa ..

Bernardo silva kafanya clearence mpira unataka kutoka ,mbaya zaidi ,mbaya zaidi haikuonekana kama ulikuwa umetoka au laaah ,....

Baada ya hio clearence camavinga ndio aliwin mpira ,kiufupi baada ya bernado silva kupiga huo mpira mnaosema umetoka nje ulifikia miguuni mwa camavinga ,referee alipeta Kwa sababu ni advantage Kwa Madrid,na Hilo liko wazi ,muda huo hata wachezaji wa madrid walilidhika kabisa ,...Madrid wamecheza huo mpira pass after pass wakanyanganywa ,ndio city akamiliki mpira na kufunga ....which is another phase ..........

Mtu kama Carlo unakuta analialia sijui ulitoka anashindwa kusema baada ya kutoka wao ndio walipossess kama advantage...acheni ujanja ujanja chezeni football

Sijui kwanin watu wanashindwa kuona hiki kitu ,wanataka kitongaa na kuja na vipicha vya kijinga ,wanafikili referee ,var ,zaidi ya camera 20 ziko uwanjan zilikuwa hazioni kinachoendelea ....
 
Back
Top Bottom