Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Unawasikia eti wanajitapa wenyewe mashabiki wa La Liga. Humu wote wana timu zao za EPL ila ni glory hunters tu wanaoshabikia Madrid sababu inafanya vizuri UEFA tu.Madrid Haina mashabiki bongo bana ,hawa ni mamruki wanaojitokeza kipind cha UEFA ,baada yapo yanarudi kwenye team zao
Nan anapoteza muda kuangalia la Liga ,mambo mengine unacheka tu![]()
Bongo hakuna mashabiki wa La Liga ukitaka kuamini hakuna kibanda umiza TZ kinachoonesha mechi za La Liga tofauti na El classico

