Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT:So far tumecheza vizuri,na mbinu yakuwaachia wamiliki mpira sisi tupige counter imefanikiwa kwa angalau kupata goli moja japokuwa tulikuwa na fursa zaidi,bado naona tuna nafasi yakupata goli mbili na zaidi kipindi cha pili,Vin aendelee hivi hivi kubadili upande nakirudi kati lakini Rodri au Benzema awe anasararia golini kwa hawa jamaa pale panapotokea piga nikupige,tulipata goli la pili before wao wapate tuna uwezekano wakupata zaidi kwa sababu city ni mwepesi kuchanganyikiwa nakukata tamaa.

Nimpongeze Antonio Rudiger kwa kufanya kazi safi sana hapo nyumba,achunge asipate kadi.

Refa so far kaweza kuhimili pressure ya mchezo.

Goli nyingi zaidi zitaturahisishia hatua ya second leg.

Sioni mtu wakufanyia mabadiliko,labda sanaaa atoke kroos aingie Tchou.

Sent from my SM-A336E using JamiiForums mobile app
 
Tulikua mechi nzuri japokua wengi walitegemea tutaingia na kuchakazwa vibaya sana. Sijaona mahali tulipokosea leo. Tulikua na mechi nzuri sana.

Hope next Wednesday tutajitahidi kupata matokeo. Ni ngumu maana city ana muda mrefu hajapoteza home, ila inawezekana.

Camavinga bado kudaka tuu, rudiger alikua na mchezo mzuri sana leo

Kila la kheri madristas
 
Back
Top Bottom