KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,770
- 4,393
Tuko pamoja mkuu wewe unaelewa vizuri nashangaa tu wanaojipa matumaini ya 100% hao ndo wanaingia na matokeo baadq ya kupigwa waanze matusi na kulaumu bekiNi game ngumu sisi tunaingia tukiwa kama weak team. Tutaenda kupambana hadi mwisho.

