Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Ni taaluma kama zilivyo taaluma nyengine, Uwezo wakufahamu nani ni bora nani atafaa nani ata replace vizuri, nani ni mzuri kwa future, nani ni mzuri kwa present.
ndio mana kwenye timu nyingi wanaajiri watu kama ma sport directors kazi yao kubwa ikiwa ni hiyo, na hata wao pia hutafautiana kwa ubora. Chelsea sasa wapo kama vichwa vya wendawazimu sababu wanakosa kabisa mtu kama huyo kwenye timu.
Kumbe unakubali ni ngumu unakubali ni kazi na taaluma ya watu. Sasa iweje unapinga wataaluma walioma jude anafaa, na fran