Chakushangaza kabisa wachumbuzi wa soka Ulaya na mashabiki wanamzungumza kama mchezaji wa kiwango cha ajabu duniani, huwa wananichekesha sana. Jamaa ndio mchezaji anaepoteza mipira mingu zaidi uwanjani ndnai ya timu. Pasi zake mbovu shuti zake mbovu.
Siku zote Madrid tukicheza na timu zinazojilinda tuna force mashambukuzi kupitia katikati ya uwanja na sio pembeni iwe isiwe Ili tuingie kwenye box la adui lakini this time naona tumekomaa na mashambulizii kupitia pembeni hasa Kwa Vinni shida inakuja tukibanwa hapo Kwa Vinni basi hatupati kitu. Enzi ya BBC kulikuwa Kuna kubadilishana namba Kila baada ya dakika 10 ya mchezo. Forwards wetu wa mbele walikuwa wanabadilishana. Namba 9 namba 10 na namba 11 walikuwa wana alternate Ili kutengeneza nafasi Kila baada ya dakika kumi ila Leo Vinni akianza namba 11 Hadi dakika 90 zinaisha yupo pale pale. Aseee hii Madrid sio ileBado story zimekuwa zile zile unacheza vizuri ila haupati matokeo., ni wakati sasa wa Carlo kujua namna ya kucheza na hizi team zinazojilinda kwa idadi kubwa ya wachezaji.,
Itabidi Carlo abadili namna ya kumtumia Vinicius, kama inawezekana wakati tunashambulia awe anaingia kwenye box ili tupate mtu wa ziada kwenye box., kwasababu kijana anakaa sana pembeni., unakuta kwenye box yupo Karim peke yake ama hayupo kabisa.! Sasa hapo tunapata vipi magoli endapo hatuwabugudhi wapinzani!?
Leo nahisi tunadondosha point. Ngoja tusubiri game. Vyovyote vile sisi tutabaki kua madrid
Hata UEFA?Sidhani kama kuna kikombe kitakuja kwetu msimu kwa speed hii.
Na shida inaanzia hapo kwa Vini., ni mara chache sana utaona ana hana upande., Benzema na Rodrygo ndio mana nyingi wanahama., na inasaidia sana., kwa mfano Vini angeweza kurudi ndani kidogo ili amwachie beki wa kushoto nafasi ya kuongeza idadi ya washambuliaji., unaona jinsi Rodrygo alivyokuwa anamwachia nafasi Vazquez., ile piga nikupige inaweza kusababisha hata penalty., tuendelee kujipanga.,Siku zote Madrid tukicheza na timu zinazojilinda tuna force mashambukuzi kupitia katikati ya uwanja na sio pembeni iwe isiwe Ili tuingie kwenye box la adui lakini this time naona tumekomaa na mashambulizii kupitia pembeni hasa Kwa Vinni shida inakuja tukibanwa hapo Kwa Vinni basi hatupati kitu. Enzi ya BBC kulikuwa Kuna kubadilishana namba Kila baada ya dakika 10 ya mchezo. Forwards wetu wa mbele walikuwa wanabadilishana. Namba 9 namba 10 na namba 11 walikuwa wana alternate Ili kutengeneza nafasi Kila baada ya dakika kumi ila Leo Vinni akianza namba 11 Hadi dakika 90 zinaisha yupo pale pale. Aseee hii Madrid sio ile
Hata UEFA?
Sasa hapo man umevuka mpaka, jitahidi uwe unaangalia mpira kwa jicho la tatu., licha ya shida zake binafsi., Vinicius ni mchezaji mzuri sana., ni kwamba ana vitu vidogo dogo tu vinamharibia mpira wake., ila ninaamini atakuwa sawa tu hapo baadae.Ni Official Vini Jr ndio mchezaji wa ovyo zaidi Duniani kwa sasa. Inakuaje anacheza dakika 90 kila mechi? Hapo ndipo nashindwa kufahamu kabisa. Kwa kweli nimevurugwa, nikimuona hua napata homa.
Sasa hapo man umevuka mpaka, jitahidi uwe unaangalia mpira kwa jicho la tatu., licha ya shida zake binafsi., Vinicius ni mchezaji mzuri sana., ni kwamba ana vitu vidogo dogo tu vinamharibia mpira wake., ila ninaamini atakuwa sawa tu hapo baadae.
Pesa sasa wanalipwa pesa basi mbwembwe nyingi na kuuza sura sio watu wa kazi kaziKupata tena kizazi cha akina Ronaldo na Messi ni Ngumu sana kizazi cha akina Modric,Kroos,Xavi,Iniesta kwa hakika ni ngumu sana nikiangalia watoto wa siku hizi wanajaa sifa mapema sana wakati hata mpira wanaoucheza hamna kitu