Tetesi zilizopo ni Kwamba don Carlo anaweza timukia Brazil. Real Madrid inajaribu kumshawishi klopp jurgen atue Madrid kwani Kuna hazina kubwa ya vijana wachanga ambayo klopp anaweza fanta nao kazi
Carlo ni zaidi ya Klop.
Tetesi zilizopo ni Kwamba don Carlo anaweza timukia Brazil. Real Madrid inajaribu kumshawishi klopp jurgen atue Madrid kwani Kuna hazina kubwa ya vijana wachanga ambayo klopp anaweza fanta nao kazi
Carlo ni zaidi ya Klop.


Laana ya kumfanyia ubaguzi Alaba itawatafunaLaana ya kumfanyia ubaguzi Alaba itawatafuna
Full time
Real Madrid 0 Barcelona 6
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
#HalaMadrid¡¡Sijui kwa nini watu ili jukwaa huwa wanabishana na mashabiki wengine ambao pia wana uzi zao wanaweza kwenda jadili yanao husu.
Leo tuko uwanjani, leo naamini tunaenda kucheza mpira wa ushindani. Kila la kheri kwetu sote
Hala Madrid
Camavinga ameanza, ila Tchouaméni yupo bench, bado hayupo fit kihivyo., line-up ninaona ipo poa japokuwa ningependa Camavinga aanze kama beki wa kushoto kisha Tchouaméni apige hapo namba sita, kisha Luka na Toni juu na Valverde winga ya kulia., ila kwa vovyote ni poa tu.,Game plan iwe ni kucheza pasi ndefu za juu. Tu maintain hio game plan muda wote. Tusijiroge kupiga pasi nyingi fupi fupi wapinzani ni wazuri pasi fupi fupi. Nilitamani Camavinga na Tchou wawepo eneo la kiungo kwenye first 11.
Halla madrid.
Relax mkuu. Hizi mabishano ndizo zinafanya tuupende huu mchezo. Don't take things too personally.Sijui kwa nini watu ili jukwaa huwa wanabishana na mashabiki wengine ambao pia wana uzi zao wanaweza kwenda jadili yanao husu.
Leo tuko uwanjani, leo naamini tunaenda kucheza mpira wa ushindani. Kila la kheri kwetu sote
Hala Madrid
Midfields wetu Leo wanaoanza ni valverde kroos na modric
Sure man, hata confidence ya Camavinga ilishuka kidogo baada ya lile goli., ninadhani Mwalimu ataongea na vijana nini cha kufanyaWe are down 1 bila tumejifunga. Hopefully temper wa vijana na mashabiki uwanjani itatulia 2nd half