Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Iyo ngekewa mbona nyie hamuipatiMungu awabariki Atletico. Mtani komaa na UEFA, domestic cups tunabeba zote msimu huu.UEFA kuna vibonde wengi msimu huu. Mkikomaa na ile ngekewa yenu, mnaweza kanya jambo.
Just imagine Liverpool, Chelsea na akiba Dortmund bado wako uko. Hata Man City na PSG wa sasa hawana maajabu kabisa. Teams zenye form nzuri, zilitoka mapema. Komaeni na hao vibonde!