Ni mimi mkuu, I'll break it down:
Umeona magoli tuliyofungwa Leo, nani kapoteza mpira magoli yote?
Kwanini camavinga sio starter France NT au RM kikosi kikiwa fit?
Match ambazo France alipoteza kwenye WC camavinga alianza na kutolewa, kwanini?
Dogo ana potential ila ana makosa mengi sana muangalie vizuri. Judgement yake ni mbaya, anamakosa mengi sana ambayo ni costly.
Tchou akirudi camavinga anarudi bench.
Leo tumeshinda ila hii RM haipo kwenye ubora wake kabisa na livakuku is even worse nadhani wote tunakubaliana na Hilo na Sasa ndo muda ambao camavinga anacheza sana, you can see the link there.
Cc
ukikaidi utapigwa2