Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Liverpool 2-3 Real Madrid
Hello Madridistas
Kila mtu kaona game japo tulianza vibaya ila tulikua na wakati mzuri wa kusahihisha matokeo. Siku zote naamini timu yangu kipindi cha pili na leo kimetoa matokeo sahihi.
Kwangu waliokua bora uwanjani ni vin, camavinga wamecheza kwenye ubora sana. First half cama alicheza chini aliku hafanyi kurun kusogea mbele ata kidogo. Kipindi cha pili kilibadirika kwake.
Vyovyote tumeanza vizuri. Tusubiri game ya pili ya marudiano. Next game nadhani ni athletico ndio anafata.
Hala Madrid.
unaongelea Camavinga yupi?Camavinga hajui lipo wazi. Huu ubovu wa RM lately ni sabau Tchou hayupo. Hata France games walizopoteza ni ambazo Camavinga alicheza na Tcho alikua nje. Camavinga sio starter wa timu yeyote ile na bado sana.
Jamaa kaumbuk vibayaa sana,, awa ndio wa livescoreunaongelea Camavinga yupi?
We jamaa, NI WEWE AU UMELEWA?Camavinga is so fckn overrated. Hajui kabisa mpira
We jamaa, NI WEWE AU UMELEWA?