Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Game ilikuwa ya kibabe sana., looh
Umeangalia kupitia chaneli ganiNaangalia game timu yetu inatia huruma
Nme stream online
Kituo kinachofuata ni La Liga dhidi ya Sociedad., hii itakuwa Jumapili, mida ni ile ile saa Tano usiku., kisha Alhamis tunawakaribisha Valencia., safari hii ni noma sana
Umnyooshe nani na hilo defence lako bovu? Wanyooshe akina Mendy kwanza!Jana sijacheki game ngoja niingie YouTube ila
Natamani tukutane na Barcelona tuwanyooshe
Acha tusubirie draw, itakuwa Jumatatu., hapo tutajua mbivu na mbichi., Barcelona ningependa tukutane nao Fainali.,Jana sijacheki game ngoja niingie YouTube ila
Natamani tukutane na Barcelona tuwanyooshe
Hatuna defence bovu ila tuna majeruhi., na game dhidi ya Barcelona chochote kinaweza kutokea, haijalishi team ipo vp., suala la msingi wachezaji wapo fit kiasi gani.Umnyooshe nani na hilo defence lako bovu? Wanyooshe akina Mendy kwanza!


Vamooos RealTupo uwanjani leo
Kila la kheri Madrid
Halla Madrid![]()