Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Athletic Bilbao 0-1 Real Madrid
Vp game ipoje tunapelekwa au 50 50 tu
Athletic Bilbao 0-1 Real Madrid
Kama kawaida game dhidi ya Bilbao haswa San Memes huwa inakuwa ya speed sana., kila upande unashambulia, tunacheza chini muda mwingi., ninadhani ni tahadhari kwa kuwa wana wachezaji wenye speed sana.Vp game ipoje tunapelekwa au 50 50 tu
Vijana walijitahid kiukweli, sio mbaya sana, ningependa kuona wanajitahidi kukaa na mpira zaidi na kutengeneza nafasi kutokea kati kati, kwasababu kwasasa hatuna full back wa kufanya hiyo kazi.,Atletico Madrid anafata nadhani, Ukweli jana ilipendeza kuona tumeweka vijana pale katikati ya dimba. Nasubiri ujio wa tchouameni uongezee nguvu
Muda sio mrefu hapo vijana watakuwa Uwanjani.,., Ni matumaini yangu kuwa tutavuka kwenda round inayofuata.,Heko heko madridistas leo tuko uwanjani kukupiga na atm. Leo niko na uwakika wa ushindi kwa 70%
Toni kross atacheza kiungo aki attack kutokea kushoto ya uwanja itatupa coverage kubwa
Style zile zile., jamaa huwa wanapenda sana kutumia beki wa pembeni kuingiza mipira ndani, usipokuwa makini unashangaa goli la pili hilo.,Tumetupiwa kimoja tuaangaike nacho kutoboa
Naangalia game timu yetu inatia hurumaHT: Real Madrid 0-1 Atletico Madrid
Tunahitaji vijana wenye kasi kwenye kiungo., hii itatusaidia wakati wa kushambulia kuwa tutakuwa na wachezaji wengi eneo la Atletico., so option zinakuwa nyingi pia., ila hii ya kuwa wa watu wawili ama watatu wakati tunashambulia wakati huo wao wakiwa wengi itatuwia ngumu sana kupata goli.Naangalia game timu yetu inatia huruma