Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Mkuu uliangalia mpira!? Kama kweli anataka kuwa bora anahitaji awe mtulivu kwenye 18 ya team pinzani., nafasi tatu za wazi na zote zikapotea!?Mkuu hivi unampaumu vipi Vinicius nadhani Sociedad walikua bora sana katika kudefend ikiwa ni pamoja na kipa wao. Walikua bora sana huwezi kumlaumu mchezaji hata mmoja leo
Anahitaji kufanyia mazoezi eneo la umaliziaji sana sana., yeye pekee ndio alipata nafasi nyingi na nzuri za kupata goli kuliko wengeni, angekuwa Benzema ama Rodrygo bado ningemsema vile vile., Ancelotti kwa hulka yake ni lazima atoangea na kijana.,