Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,753
- 6,488
Real Madrid XI: Courtois, Nacho, Rudiger, Militao, Camavinga, Kroos, Ceballos, Modric, Asensio, Vinicius, Benzema
Nusura tuwapige la tatuWamelegea tayari
Asensio huyu wa Leo ndio tuliomrudisha kutoka Espanyol., Golikipa hata hapati shida kujirushaNani kaliona bomba la Assensio?
Ule alioufanya ni zaidi ya upuuzi., sikuona sababu ya ile rough, kwanza kamchezea Mbarazil mwenziePaulista red card. Jamaa kacheza rough ya kipuuzi angekua timu nampa suspension ya mwezi mzima
Ndo mana miltao akamshukia nnUle alioufanya ni zaidi ya upuuzi., sikuona sababu ya ile rough, kwanza kamchezea Mbarazil mwenzie