Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Benzema anataka kufunga goli la aina gani!?
Ikiwezekana Camavinga ahaime hapo hapo, Mendy anamakosa mengiVijana wamecheza vizuri sana kipindi hiki cha pili., Camavinga anapiga beki ya kushoto na anajitahid kweli kweli.,
Ceballos aongezewe mkataba, Kijana ameimarika kiukweli.,
Upande huo unamfaa, anajitahid sana, ila sasa sijamuona akicheza upande huo team ikiwa kwenye presha ya kushambuliwa., acha tuone huko mbeleni itakuwaje.,Ikiwezekana Camavinga ahaime hapo hapo, Mendy anamakosa mengi