yesamrich
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 2,543
- 4,557
Hapana,round 16Hii na villa real ilikuw final???
Hapana,round 16Hii na villa real ilikuw final???
NdioAthletic Madrid au
Safari hii tunaye Atletico Madrid., mbugi itapigwa Santiago Bernabéu
After losing super copa,yyt ataekuja mbele yetu ni sugunyo kwa kwenda mbeleSafari hii tunaye Atletico Madrid., mbugi itapigwa Santiago Bernabéu
Camavinga akienda kweli asenali i will be hurt dah
Ni rumoursHivi hii taarifa ni kweli wakuu...maana daah! Kamavinga anatusaidia sana
Man u wanamtaka piaHivi hii taarifa ni kweli wakuu...maana daah! Kamavinga anatusaidia sana
Kuna games za juz juz modric hakuwepo kama mbili hiviSijaona game ya juzi kwa dakika 90 so sijaweza tambua wapi yalikua madhaifu yetu. Sema natamani siku tucheze na vijana pale dimba la chini hasa katika mechi kubwa nione ufanisi wao.
Hasiwepo modric au kross
Kuna games za juz juz modric hakuwepo kama mbili hivi
YesKross alikuwapo


Tupo uwanjani leo
Kila la kheri madrid halla![]()
Leo nafikiri timu itajituma ili tusiongezee gape na waongozi wa league
Ila ni mechi ngumu sana ya leo
Carlo Ancelotti has shut the door in Arsenal's face. The Gunners were said to be keen on loaning Eduardo Camavinga this January but it is an option that Real Madrid do not even remotely contemplateCamavinga akienda kweli asenali i will be hurt dah