Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,725
- 6,417
Ancelotti ni muoga sana wa kujaribu mbinu mpya, yaani ni mpka apate shida., ni vizuri ameona Kroos na Modrić sio tegemeo tena, labda hapo baadae atafanya mabadiliko yenye tija, dakika za mwisho tumecheza vizuri kuliko tulivyoanza.,
Rodrygo sio kiungo ila anaweza kucheza kati kati vizuri zaid aanvyocheza winga., Ceballos amecheza vizuri sana pia.,
Hopefully hiki kipigo kitatuamsha kutoka usingizni
Rodrygo sio kiungo ila anaweza kucheza kati kati vizuri zaid aanvyocheza winga., Ceballos amecheza vizuri sana pia.,
Hopefully hiki kipigo kitatuamsha kutoka usingizni