Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Viniciuuuuus
Vinicius ni kwamba amelewa sifa ama ndio kiwango kimefika mwisho!? Sielewi maamuzi yake anapokuwa eneo la hatari la team pinzani
Man., kuna muda ninadhani wenzake watamzingua kama kipindi kile Benzema na Mendy walivyomfanyia, sijui ndio udhaifu wake ama ni utoto mwingi,? Ila acha tumpe muda, labda atajiongeza.Kuna muda hua haka katoto kanalewa sifa chakariii



Mmh wewe Leo wa kusema haya heheheheHili timu bovu Leo linacheza likishinda niitwe mbwa nimekaa pale
Mna hack sana wanangu tutaikimbia jf aiseeMmh wewe Leo wa kusema haya hehehehe
Kuwa na amani man, vijana ni very professional., wanajua hii nafasi ya kwenda World Cup imetokana na wao kupewa nafasi ndani ya club na kucheza.,Leo tuko uwanjani. Sitegemei leo kwa wachezaji tena wa kibrazil watukubali kutoa solid game maana wote wanaenda worldcup na ni dream yao wakiwa vijana
Fainali ya Msimu uliopita inajirudia mapema sana., acha tusubiri tuone itaenda kuwa vp.Liverpool again.
Fainali ya Msimu uliopita inajirudia mapema sana., acha tusubiri tuone itaenda kuwa vp.
#HalaMadrid
Acha tuone kwanza baada ya World Cup team itakuwa vp, baada ya hapo ndio tunaweza kuongea man.,This time liverpool ata nisumbua sumbua kidogo akishindwa maliza game kwake ntakua na 60% ya kusonga mbele
Baada ya Asensio kukiwasha, Ancelotti amempa tena nafasi., ni Habari njema kuwa Tchouaméni amerejea kikosini.,