Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Game ilikuwa ngumu kweli kweli kwa upande wetu, ukiweka na maamuzi ya refa basi mambo yakawa magumu zaidi., ila ndio mpira, kuna siku mambo hayaendi vile unataka.
 
Hapa Perez alifanya makosa replacement ya Benzema itakuja kutu cost one day kwenye big game
Perez hata hakuzingua, Tulipata nafasi ya kumsajili Gabriel Jesus, ishu ya passport ikazingua, basi Ancelotti akaamua abaki na wachezaji tulionao huku akiwa na Imani kuwa Hazard atacover hiyo nafasi, ila jamaa ndio akazingua, halafu tuna mtu anakula Mshahara wa bure pale kwa jina la Mariano, jamaa aligoma kuondoka pia, so kumsajili mchezaji mwingine wakati tuna watu wanakula mshahara wa bure sio Sawa kwanza ukizingatia na hali. Kifedha ya sasa kwenye club nyingi.,
So pengo la Benzema linaonekana kwa kuwa kuna mambo hayakuenda Sawa.

Rodrygo anaweza kucheza hiyo nafasi shida ni kwamba kijana bado hana misuli ya kutosha kupambana na beki zenye nguvu., lakini pia shida ipo kwa Ancelotti, bado hajapata njia ya namna ya kucheza na hizi team ndogo wanaowaza kulinda tu muda wote, na hizi team ndio mara nyingi zinatusumbua.,
Barca wao team za hivyo haziwasumbui wao wanapiga,
 
Rodrigo sio natural number 9
Hata benz sio natural namba 9. Kinachomsaidia benz9 ni kwamba kuna muda anapotea pale namba 9 anakwenda 10 anakwenda 11 anakipiga vizuri kama asipo funga anacreate chances anatoa assist na anawapa presha mabeki pinzani wanamsahau. Zama za false 9 ndo hizi. Natural 9 ni ngumu kukupa unachotaka mabeki wakimkamia vizuri.
 
Back
Top Bottom