Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Leipzig wana speed ya kutosha, tulianza game vibaya wakatuadhibu, ila kwa dakika hizi za mwisho team imerudi kwenye mstari, ninaona Rüdiger na Nacho wamebadilishana post, sijui ni maelekezo ya Ancelloti ama ni wao wenyewe, ila kiukweli hayo mabadiliko yametupatia ahueni.