Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kama kawaida, Ancelotti akikutana na team inayomiliki mpira huwa anacheza low block kisha anatumia nafasi kufanya counter attack., Vinicius Jr hapo ndipo umuhimu wake unapoonekana. Barcelona wametushika kwenye kiungo kama kawa kawaida ila huwa wanaacha sana nafasi nyuma., so ni kazi ya washambuliaji wetu kutumia hizo nafasi.,
#HalaMadrid
 
IMG-20221017-WA0421.jpg
 
Back
Top Bottom