bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,520
- 23,953
Habari ya Mbappe imekaaje nasikia anajuta kuongeza mkataba anataka kuja Los BlancosAsikumize kichwa, tumewazoea, ndio maana hakuna aliyejibizana nae.,
Habari ya Mbappe imekaaje nasikia anajuta kuongeza mkataba anataka kuja Los BlancosAsikumize kichwa, tumewazoea, ndio maana hakuna aliyejibizana nae.,
Dogo amepagawa, ana ugomvi na Neymar, bahati mbaya akajikuta kwenye team ya neymar wapo wengi zaidi na wenye nguvu haswa Messi, Sergio Ramos aliyekuwa anamtegemea amkingie kifua na yeye amekuwa mpole., so hana sauti dressing room, na mbaya zaidi maofisa wa club na wenyewe wapo kimya, so anaona kama hatendewi haki.Habari ya Mbappe imekaaje nasikia anajuta kuongeza mkataba anataka kuja Los Blancos
Mbappe alikosea sana kusaini ule mkataba.Dogo amepagawa, ana ugomvi na Neymar, bahati mbaya akajikuta kwenye team ya neymar wapo wengi zaidi na wenye nguvu haswa Messi, Sergio Ramos aliyekuwa anamtegemea amkingie kifua na yeye amekuwa mpole., so hana sauti dressing room, na mbaya zaidi maofisa wa club na wenyewe wapo kimya, so anaona kama hatendewi haki.
Suala la kuja Los Blancos ninaona kama Perez hana time nae, ila acha tuone itakavyokuwa huko mbeleni.


Tupo uwanjani Leo Halla Madrid![]()





Saa 17:15hrs(5:15pm) Saa za Afrika MasharikiEl classico saa ngap wakuu
akaze mikono leo...Kutokana Courtois kutokuwa bado fit, Lunin amepewa jukumu la kulinda goli letu., hopefully tutakuwa na game nzuri
#HalaMadrid