Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sijajua ni maelekezo ya Mwalimu ama ni dogo amejiongeza, Ninaona Rodrygo anacheza zaidi kati kati, kama anasaidiana na Benzem hivi, wakati Valverde anacheza winga ya kulia., acha tuone kama ndio majukumu mapya Rodrygo amepewa ama ni kwenye game hii tu.
 
Tunapoteza sana nafasi nyingi, kila mmoja anapiga tu, sijui shida ni nini., piga basi hata ulenge goli, wote wanapakia, tukitoka droo hii game ni kwa uzembe wa wachezaji wetu.,
 
Sijajua ni maelekezo ya Mwalimu ama ni dogo amejiongeza, Ninaona Rodrygo anacheza zaidi kati kati, kama anasaidiana na Benzem hivi, wakati Valverde anacheza winga ya kulia., acha tuone kama ndio majukumu mapya Rodrygo amepewa ama ni kwenye game hii tu.

Tumeshinda. Game ya leo tumecheza vizuri ilikua ni swala tu la kuweka mpira wavuni. Rodrygo na benzema wakisimama mbele wanacheza vizuri sana
 
Bado vijana wana kitete wakiwa eneo la hatari la upinzani, Ancelotti anahitaji I kulifanyia kazi hili., nafasi tunazokosa zitatugharimu, Game dhidi ya Osasuna ilikuwa hivi hivi, tukajikuta tumetoka droo.,
 
1665253457605.png
 
Back
Top Bottom