Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,089
No Madrid tunacheza jinsi tunavyokutana na team. Ukicheza na getafe sio sawa na ukicheza na Leipzig. Hatuko vibaya sana ukizingatia getafe huwa anatupa game tafu.
Sina kumbukumbu kama mara ya mwisho kwake pale tulimnywa 3. Hii ni laliga safari bado ndefu hope tuta deliver
Sina kumbukumbu kama mara ya mwisho kwake pale tulimnywa 3. Hii ni laliga safari bado ndefu hope tuta deliver