Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,753
- 6,488
Jamaa ninaona wameamua kujilinda, huku wakitumia counter attack, wamejaribu kadhaa ila hawajafanikiwa.
Hopefully kipindi hiki cha pili tutamalizana nao mazima.,
#HalaMadrid
Hopefully kipindi hiki cha pili tutamalizana nao mazima.,
#HalaMadrid