Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwetu ushindi ni jambo la kwanza, na muhimu, kucheza vizuri huwa inatokea na inategemea pia aina ya mpinzani, kuna team inaingia uwanjani kutibua mipango tu ama kupack bus, Sasa mpinzani wa aina hiyo akikubahatisha goli mnaweza mkatoka droo ama ukafungwa,

Valverde hana uwezo mkubwa kama wa Modrić ama Camavinga, ila jamaa kiukweli ana nguvu, muda wote uwanjani anakimbia na huoni dalili za yeye kuchoka, huwa ninapenda ahusike kwenye counter attack., yupo vizuri sana kwenye sector hiyo, ile ya juzi Vinicius aliingilia ila jamaa alikuwa anaweka kamba.,

Camavinga nae amkua na uwezo mkubwa?
 
Camavinga nae amkua na uwezo mkubwa?
Yeah., na uwezo niliokuwa ninazungumzia hapo, ni uwezo wa kumiliki mpira, namna ya kuchezesha wenzake, dogo kwenye sector hiyo yupo vizuri, so uwezo wa namna hiyo nilitamani na Valverde awe nao ukiweka na nguvu aliyonayo, ingekuwa ni Habari njema sana kwetu., since wanacheza kama team kila mmoja atachangia kipawa alichonacho uwanjani ili tuwe na team bora.
 
Halla Madrid
IMG-20221002-WA0068.jpg
 
Back
Top Bottom