Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Na ndio huwa kipindi chetu cha ushindi
Hazard ndio tu katuangusha, tulitakiwa tuwapige jamaa Tano kabisa.
Mchezo ulikuwa mzuri, wale vijana wa Kifaransa wamefanya vizuri tu kiukweli,Valverde na Mendy na Militao ndio kidogo walikuwa hawapo kwenye mchezo muda wote., ila wamejitahidi, sio rahisi kuwafunga Celta kwao..
 
Babu modric anazeeka na utamu wake katupia chuma Cha pili
Kwa umri alionao na vitu anavyofanya uwanjani ni hatari sana, unatamani aendelee kucheza tu., ile pasi ya goli la Vinicius Jr ni hatari sana., bado anahitajika sana ndani ya kikosi, acha tuendelee kufurahia kipaji alichopewa.,
 
Mkuu, ku control mchezo kwetu ina maana kufunga, ama kupata magoli, ishu ya umiliki wa mpira wala sio ishu sana kwa Ancelotti., kila game huwa ana namna ya kuingia, Hawa Celta ni watundu sana kwenye kuchezea mpira haswa wakiwa kwao, so ili kuenda nao Sawa ina maana ni kuwafunga.
Mkuu uliangalia mechi? Especially kipindi cha kwanza?
 
Champ
FB_IMG_1661449745855.jpg
 
Mwaka 2018
16 bora: vs PSG, bingwa wa France
Robo: vs Juve, bingwa wa Italy
Nusu: vs Bayern, bingwa wa Germany
Final: vs Liverpool, mshindi wa pili EPL
-Psg tumekutana nae 16 bora tena ikiwa na Mbappe ambae ni matured pamoja na Messi.
-Robo tumekutana na Chelsea bingwa wa UEFA kwa wakati huo. Juve haina record nzuri UEFA kufananisha na Chelsea Fc.
-Nusu tumekutana na Mancity bingwa wa England. kwa Bayern ile siwezi kuibeza walikuwa moto pia.
-Finali tumekutana na Liver
ambayo Salah ni mzima, hakuna kisingizio tena.

Bila kusahau kwenye makundi tulikuwa na Inter(bingwa wa Italy)
 
Hii ndio maana halisi ya Ligi ya Mabingwa, huwa ninakuwaga na amani sana pindi tu tunapopangiwa kukipiga na hao wakali, ina maana unapata kipimo sahihi mapema, so ukifanikiwa kupita hapo hata morale ya wachezaji inakuwa juu sana.
Ninakumbuka baada ya kuwatoa PSG Modrić alisema kuwa hii ni mpaka final, kwamba kuvuka pale haikuwa rahisi, so hawakuoana tena team ya kuwasimamisha.
 
Back
Top Bottom