Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Ligi ya safari hii ni ya ushindani sana, Barca na wao wapo vizuri sana, safari hii ni ile kila mtu ashinde game zake., hakuna muda wa Kusema nitamsubiri mtu apoteze point.
Mnaruhusu sana magoli watani zangu.Ligi ya safari hii ni ya ushindani sana, Barca na wao wapo vizuri sana, safari hii ni ile kila mtu ashinde game zake., hakuna muda wa Kusema nitamsubiri mtu apoteze point.
Ni kawaida endapo kuna mabadiliko kwenye idara ya Ulinzi kikosini, Gianna watakuwa poa tu.Mnaruhusu sana magoli watani zangu.
Siku mkikutana na Lewandoski lazima yajirudie yale ya nne bila. Mtapigwa kama Ngoma!
Yeah, Usiku wa Ulaya umerudi tena, na sie kama kawa tutakipiga hapo baadae dhidi ya Celtic.Chama lipo uwanjani Leo




#HalaMadridChama liko uwanjani all the best