Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,490
Mkuu Mariano ni tatizo kubwa, yule jamaa ni mbinafsi sijawahi ona, kinachomfanya abaki clubini licha ya kutopewa nafasi ni mshahara wake man, hataki kulipwa pungufu ya mshahara anaopata kwasasa, msimu uliopita club ilifikia makubaliano na Rayo Vallecano, ila jamaa akachomoa kwa kuwa jamaa hawakuwa tayari kumpa mshahara anaolipwa kwasasa.,Casemiro kuondoka kwa mimi naona ni sawa,kwa sababu ameshinda kila kitu kwa ngazi ya club akiwa madrid hapa,ni wakat muafaka wa yeye kutafuta hela sasa zakustafu...huyu Mariano sijui kwa nini huwa tunamuweka kikosini,awekwe sokoni.
Akisema apunguze mshahara tu, kesho atapata club, so ninaona anazuga ili mkataba wake uishe ili achague sasa sehemu ya kwenda.