Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bila ya replacement itaigharimu timu sana kwa maana ya sana.
Uwezekano wa kupata mbadala wa uhakika ni mgumu sana, hapo labda Ancelotti awe anaenda na double pivot ya Camavinga na Valverde. Ama Kroos., ila kuingia sokoni kwa muda uliobaki sioni hilo likitokea.
 
Nimesikitishwa sana na habari za Casemiro kuondoka Madrid.
Nilitamani kuona akibaki kwa muda mrefu zaidi na kubeba ndoo nyingi zaidi.

Camavinga/Fede ni wazuri lakini Casemiro is the best.

Utatu wa Casemiro+Kroos+Luka umefikia tamati.

#Nimesikitika.
View attachment 2328100
Wanatoa pesa ndefu acha wamchukue japo inauma
 
Mimi siwezi kulaumu popote wala siwezi ilaumu klabu yangu kwa kumuuza. Alichofanya casemiro klabuni atabaki na kumbukumbu zetu ni moja ya legends wetu.

Umri umeenda casemiro mkataba wake ukiisha madrid hawezi ongezwa mkataba. Umri utakua umesogea na hatopata team nzuri ya kumlipa. Ni bora kwenda sehemu unapata contract ya 4 years unalipwa vizuri kabisa kumalizia maisha ya soka

Kwa upande wa madrid wao wako sawa huwezi kukata 60+ adds on ni karibu na tuliyotoa kwa french man tchouameni ambaye ni 80+ add on kidogo inakua haijaumiza mfuko.

Kama casemiro tulimwamini tuwaamini vijana. Vede, camavinga, tchouameni wote wanaweza cheza DM
 
Kosa tulilolifanya tulipomuuza makelele linaweza tugharimu. Ni kweli replacement ya TANK CASEMIRO ipo ila haiwezi fua dafu kwa mbeba maji TANK CASEMIRO. World cup 2018 niliona brazil ikitepeta mbele ya belgium kwa kukosa huduma ya Casemiro. Hata game za madrid ambazo tunamkosa tunanyanyasika tukikitana na viungo wasumbufu.
 
Kunaa tetes Madrid wanamtak kiungo mkabaji mithili ya casemiro na Zaid kidogo kutika newcaste..sjui kama deal litakamilika lkn..
Yeah, nimeona hiyo taarifa na Mimi pia, anaitwa Bruno kitu kama hicho, ila Newcastle watakuwa tayari kumuuza!? Hata wakimuuza ni kwa pesa ndefu ninadhan., acha tuone.
 
Kosa tulilolifanya tulipomuuza makelele linaweza tugharimu. Ni kweli replacement ya TANK CASEMIRO ipo ila haiwezi fua dafu kwa mbeba maji TANK CASEMIRO. World cup 2018 niliona brazil ikitepeta mbele ya belgium kwa kukosa huduma ya Casemiro. Hata game za madrid ambazo tunamkosa tunanyanyasika tukikitana na viungo wasumbufu.
Japokuwa umri ulikuwa unasogea ila ni mapema sana kumtoa aisee, ila ninadhani kumnunua Tchouaméni aliona kama tunamtoa taratibu, so kwa upande wake anaona kama ni jambo sahihi kuondoka sasa hivi., na pia kwa pesa atayoenda kulipwa pia ni ndefu, acha akapate mafao yake
Kwa upande wetu kwenye kiungo mkabaji itakuwa shida kweli kweli kuziba nafasi yake, sijui Ancelotti amejipanga vp ila kazi tunayo kiukweli.,
 
Mimi siwezi kulaumu popote wala siwezi ilaumu klabu yangu kwa kumuuza. Alichofanya casemiro klabuni atabaki na kumbukumbu zetu ni moja ya legends wetu.

Umri umeenda casemiro mkataba wake ukiisha madrid hawezi ongezwa mkataba. Umri utakua umesogea na hatopata team nzuri ya kumlipa. Ni bora kwenda sehemu unapata contract ya 4 years unalipwa vizuri kabisa kumalizia maisha ya soka

Kwa upande wa madrid wao wako sawa huwezi kukata 60+ adds on ni karibu na tuliyotoa kwa french man tchouameni ambaye ni 80+ add on kidogo inakua haijaumiza mfuko.

Kama casemiro tulimwamini tuwaamini vijana. Vede, camavinga, tchouameni wote wanaweza cheza DM
Mkuu hapa umenena. Nashangaa watu wanalalamika bila kuangalia hizi details.

Madrid hatujawahi kuwa waoga wa kuuza wachezaji. Washaondoka wachezaji wazuri tu na story zikawa hizi hizi lakini mwisho wa siku Madrid imebaki kuwa Madrid.. Miaka ya karibuni aliondoka Alonso, Ozil, Dimaria, Ronaldo na story zilikua hizi hizi za kupotea ila tunajua nini kiliendelea..

Dili la Casemiro zuri sana na very strategic japo bado tunanhitaji.
 
Japokuwa umri ulikuwa unasogea ila ni mapema sana kumtoa aisee, ila ninadhani kumnunua Tchouaméni aliona kama tunamtoa taratibu, so kwa upande wake anaona kama ni jambo sahihi kuondoka sasa hivi., na pia kwa pesa atayoenda kulipwa pia ni ndefu, acha akapate mafao yake
Kwa upande wetu kwenye kiungo mkabaji itakuwa shida kweli kweli kuziba nafasi yake, sijui Ancelotti amejipanga vp ila kazi tunayo kiukweli.,
wabrazil nao kwa kupenda noti hawajambo. Wapi oscar. Yupo wapi Hulk jamaa wanapenda sana noti wale. Hata ricardo kaka aliona aende madrid kutokea Ac milani licha ya kwamba nasikia kwao Ricardo Kaka pesa sio shida kiivo. Tuliteseka sana tulipomuuza Makelele nakumnunua Beckam. Tuliuza Punda tukanunua Farasi. Hadi tulipo mpata Xabi alonso ndo tukaiona nusu fainali UCL na hatimae tukapata taji baada ya ukame wa muda mrefu. Kuliona hilo tukamchukua kinda Casemiro toka porto na kupiga dili moja kali ambalo hadi leo Buyern Munchen wanajilaumu kutuuzia Toni Kroos. Kwa kweli Casemiro tungekaa nae walau msimu huu tena. Labda ameona mateso ya kaka yake Marcelo ameona hapa ngoja nitoke nisije kosa pakustaafia.
 
Tizama wenzetu barca walivyo mngangania Busquet kwaku wanajua bila Busquet hakuna Dm pale Barca na bado hawajapata cariba ya Busquet licha ya umri na nguvu kumuishia. Viungo namba 6 wabeba maji huwa ni wachache sana wanaoweza cheza muda mrefu kama Casemiro. Hapa naona tumepoteza mtu
 
Kosa tulilolifanya tulipomuuza makelele linaweza tugharimu. Ni kweli replacement ya TANK CASEMIRO ipo ila haiwezi fua dafu kwa mbeba maji TANK CASEMIRO. World cup 2018 niliona brazil ikitepeta mbele ya belgium kwa kukosa huduma ya Casemiro. Hata game za madrid ambazo tunamkosa tunanyanyasika tukikitana na viungo wasumbufu.

hiyo ishu ya Makelele ni overrated sana, Kweli tu ni kuwa real Madrid ilishaanza kupoteza ubora hata kipindi Makelele bado yupo pale real Madrid.
 
Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba, Ancelotti na kijana wameongea kwa kina, huku Ancelotti akimjulisha kijana namna anavyohitajika ndani ya kikosi, ila jamaa kwa mpunga aliowekewa mezani haoni namna anaweza kubaki. So msimu huu tunaingia bila huduma ya Casemiro.,
Wakati huo huo akina Mariano na mwenzie Ordiozola bado wapo wapo sana.,
 
Casemiro
“I've discussed it with him this morning. He wants to try a new challenge, a new opportunity. The club understand it, with all he's done for this club and the person he is, we have to respect it. There are talks right now, he's still a Real Madrid player at this stage, but he wants to leave. If he goes, we have the resources to replace him".

“I haven't tried to convince him, I just listened, because I have spoken to Casemiro throughout my time here and he has helped us so much. Having heard what he wants, there's no way back. If he doesn't stay, we'll have an enormous sense of gratitude to him for all he's done. We have replacements within the squad. Tchouameni was signed for this position and he's one of the best central midfielders on the market right now, then we've got Kroos, who can play in that position too, just like he did in my second year here, and there's Camavinga as well”.

Kutoka kwenye website ya club.,
 
Tizama wenzetu barca walivyo mngangania Busquet kwaku wanajua bila Busquet hakuna Dm pale Barca na bado hawajapata cariba ya Busquet licha ya umri na nguvu kumuishia. Viungo namba 6 wabeba maji huwa ni wachache sana wanaoweza cheza muda mrefu kama Casemiro. Hapa naona tumepoteza mtu

Wachezaji vijana watapata wapi kujiamini au udhoefu pasipo kucheza mkuu?
 
Back
Top Bottom