Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,754
- 6,489
Almeria 1-0 Real Madrid..,
Kuwa na adabu ww cheltako chelyatimaMmenipa hela jana nyie mbwa
Iv Marco asensio mbna haijulikani kama ataondoka au laah?
jamaa angeenda Arsenal pale angekiwasha kinoma!Marco Asensio akitaka kucheza World Cup anatakiwa akafanye sprint za hatari na apige bao kata 5 hivi za haraka haraka kwenye timu yoyote Italy au England. Aking'ang'ania kucheza Real Madrid bench linamuhusu na timu ya taifa ataiona kwenye TV tu. Club iliwafungulia mlango baadhi ya wachezaji akiwemo Asensio, na kuna timu nyingi zilionyesha interest akakataa kuondoka. So he already knows what's going to happen to him. Timu imeshindwa kusajili striker kwasababu kuna watu hawataki kuondoka.
Casemiro is considering Manchester United's offer
Hasn't ruled out a move to the Premier League giants
Wakuu mnasemaje kuhusu hii ishu ya Casemiro., club imtoe!?
Akiondoka sasa hivi, ina maana vijana wetu wa Kifaransa ndio mbadala wake, sioni tukiingia sokoni kutafuta mbadala wakeImtoe tu mana hana maajabu, Ila replacement ni jambo la lazima, wale vijana wakifaransa sio wakuwaamini kabisa.
Akiondoka sasa hivi, ina maana vijana wetu wa Kifaransa ndio mbadala wake, sioni tukiingia sokoni kutafuta mbadala wake
Uwezekano wa kupata mbadala wa uhakika ni mgumu sana, hapo labda Ancelotti awe anaenda na double pivot ya Camavinga na Valverde. Ama Kroos., ila kuingia sokoni kwa muda uliobaki sioni hilo likitokea.Bila ya replacement itaigharimu timu sana kwa maana ya sana.