Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kwa timu iliyocheza namna tunavyojiamini aisee ni fahari sana. Ila ukweli ule utatu modric, kross, casemiro ni Dhahabu tuliyopewa kutupa furaha madrid.

Mpira kwao ni rahisi unatamani siku zote wacheze. Msimu uanze tufurahie wote kuiona madrid ikicheza mpira kila weekend’s
Jana Casemiro alikuwa na siku nzuri sana, ninaona kuletewa mbadala kumemchangamsha, kwangu yule jamaa jana ndio alikuwa man of the match.,
Sasa tusubiri sasa Ligi iianze tuweze kuona muendelezo wake utakuwaje
 
Hao wengine wawakilishi tu tuzo inajulikana ni Nani anabeba
IMG-20220812-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom