Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Our starting XI
Huyu ndo yule wamemchukua kwa mkopo toka shakhtar?Team imeendelea kuimarika, ninadhani game inayofuata dhidi ya Juventus itakuwa nzuri zaidi,
Tchouaméni ninaona Leo uoga umemtoka, labda kucheza viungo Wanne leo itakuwa imemsaidia kwasababu akipanda Camavinga alikuwa anashuka..
Leo tulikuwa na ingizo jipya kutoka Castilla, beki wa kulia anaitwa Vinicius Tobias, tunatarajia kuwa yeye ndio atakuwa mrithi wa Carvajal huko mbeleni, ni game yake ya kwanza, bahati mbaya amesingiziwa penalty, sidhani kama hilo litamshusha morale yake ya kucheza,. Ninatumaini atapewa nafasi tena kwenye game inayofuata.
Ni huyo huyo man.,Huyu ndo yule wamemchukua kwa mkopo toka shakhtar?
Kati ya Mauro Icardi na huyu mzurulaji Mariano bora naniyule jamaa ni bomu, hafai kabisa.
Hua una ng'ang'aniza ushindani na sisi sijui hata huoni aibuTimu lipo lipo tu Kama matikiti maji ya tabata
Kati ya Mauro Icardi na huyu mzurulaji Mariano bora nani
R.madridWeakness gani na kwenye eneo gani ambalo unaona club haijalifanyia kazi!?
Uyu jamaa Chelsea walitupigaNasikia hazard kashaumia tena huko

Sahii kabisaAcha nyinyi muendelee ku balance wenzenu wanajiimarisha, Lewandowski sio mchezo wa kitoto ndugu. Kama ni suala la ku balance Barca wangelirizika na Auba, Ila hawakutaka kubahatisha,
Na kuendelea kumtumainia Hazard kwa lolote ni uwendawazimu.