ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,286
- 31,675
Nyie kombe lenu ni kutunga sisi basi sawaWatani, mmejiandaa kwa show za Lewandoski?
Msije kusema hatukuwaambia, mtakula nyingi sana msimu huu!
Nyie kombe lenu ni kutunga sisi basi sawaWatani, mmejiandaa kwa show za Lewandoski?
Msije kusema hatukuwaambia, mtakula nyingi sana msimu huu!
Nimeona Raphina anasema kuwa wao wapo vizuri kuliko Real Madrid, kwenye mazoezi tu wameshajiona wakali, ila tuwaache muda ukifika itafahamika.,Nyie kombe lenu ni kutunga sisi basi sawa
Next season will be difficult to you guys in fact you are going to win nothing.
Hivi kwanini tusichukue hata Mauro Icardi pale PSG hana kazi aje amsaidie Benzema
Wadau wanasema eti duo ya "Aubameyang & Lendandowski" itatupa shida sana. Maoni yako?Hello madridistas.
Nafurahi tumerejea sote kufurahia msimu mwingine kuitazama timu yetu. Preseason ndio imekolea hope tutakua na msimu bora na tutashinda vikombe.
Hola hola. Hala madrid
Wadau wanasema eti duo ya "Aubameyang & Lendandowski" itatupa shida sana. Maoni yako?
Ungependa nini kifanyike Mkuu.,Ni kweli kabisa, Perez amechemka, TImu ilihitaji kuupgradeiwa, amehisi ana kikosi bora wakati ni cha kawaida sana, Mbinu za kocha ndio zilizoibeba timu.
Ungependa nini kifanyike Mkuu.,
Weakness gani na kwenye eneo gani ambalo unaona club haijalifanyia kazi!?ni kurejea hayo kwa hayo tu mkuu, Kwa kifupi weakness zote zilizoonekanwa last season zilitakiwa ziekwe sawa.
Ndio IMANI na Tumaini letu siku zote Mkuu., Nimekuwa nikifuatilia mazoezi vijana wanajitahid sana, na kitu nilichokiona tofauti msimu huu, vijana wengi wameajiri personal trainers, so wamerudi kambini wakiwa vizuri kweli kweli.,Hello madridistas.
Nafurahi tumerejea sote kufurahia msimu mwingine kuitazama timu yetu. Preseason ndio imekolea hope tutakua na msimu bora na tutashinda vikombe.
Hola hola. Hala madrid
Weakness gani na kwenye eneo gani ambalo unaona club haijalifanyia kazi!?
Ndio IMANI na Tumaini letu siku zote Mkuu., Nimekuwa nikifuatilia mazoezi vijana wanajitahid sana, na kitu nilichokiona tofauti msimu huu, vijana wengi wameajiri personal trainers, so wamerudi kambini wakiwa vizuri kweli kweli.,
Ni matumaini yangu kuwa tutakuwa na msimu mzuri.
timu inahitaji Foward wakucheza nafasi ya kulia
Timu inahitaji defender either awe wakati au wa kushoto.
Timu inahitaji Backup ya Benzema.
Haya ni mambo ya msingi sana, Singing iliyofanywa ya kutatua tatizo ni moja tu ya Rudiger.
Timu imebalance kwa jinsi don anapanga timu yake forward backup tunao na mpango wa don ni kutrain hazard aweze kucheza false 9.
Right wing kwetu si shida maana kiasi rodrygo Na asensio wanaweza kuback. Ila kwa style nyingi Valverde akianza ilo eneo ndio analifanyia kazi overlaps zote.

Yupo poa Mzee, hata hivyo sio Habari siku hizi Hazard kuumia sio, ila kuwa fit msimu mzima ninadhan ndio habari.,Nasikia hazard kashaumia tena huko
Mkuu ninaona umekomaa na forward tu. Kwani hizo forward wanacheza wenyewe huko Uwanjani!?Acha nyinyi muendelee ku balance wenzenu wanajiimarisha, Lewandowski sio mchezo wa kitoto ndugu. Kama ni suala la ku balance Barca wangelirizika na Auba, Ila hawakutaka kubahatisha,
Na kuendelea kumtumainia Hazard kwa lolote ni uwendawazimu.