Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Madridistas! Msisahau, Alfajiri tutakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Barcelona, saa 12 asubuhi (6:00hrs) saa za Africa Mashariki.
Usisahau weka link
Madridistas! Msisahau, Alfajiri tutakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Barcelona, saa 12 asubuhi (6:00hrs) saa za Africa Mashariki.
Muda ukiwadia nitajaribu kufanya hivyo BossUsisahau weka link
Acha nyinyi muendelee ku balance wenzenu wanajiimarisha, Lewandowski sio mchezo wa kitoto ndugu. Kama ni suala la ku balance Barca wangelirizika na Auba, Ila hawakutaka kubahatisha,
Na kuendelea kumtumainia Hazard kwa lolote ni uwendawazimu.
So ulitaka tusajiri lewa ikiwa tuko na benzema kwenye best pick yake ya maisha ya soka. Ndio maana timu iliacha na lengo la haaland maana hatuwezi sajiri tricker mkubwa akuje kukaa benchi.
Najua utazungumzia swala la injury hapo ndio tunakuja na idea ya hazard kua false 9 even rodrygo anaweza fit. Tuna mariano na borja. Still kwetu si mbaya hivyo.
Sio kila mchezaji aliyeko sokoni anafaa kwa timu yako. Sisi ni Madrid na wao ni Barcelona
Mariano hata goli hajawahi kufunga bado unasema sio mbaya? hazard alifunga goli moja tu msimu mzima uliopita.
We jamaa banaAcha nyinyi muendelee ku balance wenzenu wanajiimarisha, Lewandowski sio mchezo wa kitoto ndugu. Kama ni suala la ku balance Barca wangelirizika na Auba, Ila hawakutaka kubahatisha,
Na kuendelea kumtumainia Hazard kwa lolote ni uwendawazimu.



. Kwamba huko nyuma hakujawahi kua na mchezaji zaidi ya Lewa au?Huyu jamaa hamna kitu, naona mihemko tu imemzidi.Sipo kubishana. Kumbe ata mpira utazami

Ninaona kama vijana hawa hawakuenda likizo ila walienda pre season ndogo., wakiendelea na kujituma hivi basi tutakuwa na msimu mzuri sana.,Hadi sasa team inacheza vizuri japokua tuko nyuma kwa goli moja.
Nimependa jinsi rodrygo anavyofanyia kazi ile wingi ya kulia aisee dogo anaimarika na talent yake.
Camavinga huyu kijana yuko na akili ya mpira anavyovitu muhimu japokuwa makosa yapo kama alivyotengeneza chance kwa ansufati. Ila ni talented
Valverde naona anakosa ubunifu zaidi akisogea juu hii game imekua ngumu kwake. Valverde nafikiri ni type ya midfielder za maelekezo
Rudger upande wa kushoto kajitahidi ila raphina barca wamepata mchezaji si fikiri kama dembele atamuweka nje dogo anacheza vizuri.
All in all tuko vizuri nafikiri kosa la militao kupiga back pass ndio kuzaa goli
Ninaona kama vijana hawa hawakuenda likizo ila walienda pre season ndogo., wakiendelea na kujituma hivi basi tutakuwa na msimu mzuri sana.,
Camavinga msimu huu asipoondoka na namba ya mtu sijui, dogo yupo vizuri sana kiukweli., acha tuone na Kaka zao wamejiandaa vp.
Kiukweli Kroos na Valverde itabid wakae mguu pande, Dogo muda wowote atachukua nafasi ya mtu, yupo vizuri kwenye ukabaji pia ana utulivu akiwa na mpira, ni hazina kubwa sana kiukweli.Camavinga atapata mechi nyingi sana msimu huu vile tuu ajitume na zoezi basi. Kijana ana energy, akili.
Nimetazama pia false 9 ya rodrygo hayuko vibaya kijana pale mbele ni nzuri sasa. Nampenda alivyomtulivu ana open space pia na kupiga pasi kwa usahihi