Usajiri wa uhakika mpaka wamsajiri nani?Real Madrid bado sijaona usajili wa uhakika. Kwa mwenendo huu inaonekanwa wataendelea kutarajia tena Miujiza kutoka kwa Ancelotti
Tumeshasajili wachezaji wawili mpka sasa, sehemu ya beki wa Kati., Rudiger., na kiungo Tchouameni.!, bado mbadala wa Benzema tu, hapo Ancelotti na Viongozi wa club watatupatia jibu soon, ama tunaweza kusubiri mpka Kombe la Dunia tuone kama tunaweza kufanikiwa kupata chipukizi.,Real Madrid bado sijaona usajili wa uhakika. Kwa mwenendo huu inaonekanwa wataendelea kutarajia tena Miujiza kutoka kwa Ancelotti
Tumeshasajili wachezaji wawili mpka sasa, sehemu ya beki wa Kati., Rudiger., na kiungo Tchouameni.!, bado mbadala wa Benzema tu, hapo Ancelotti na Viongozi wa club watatupatia jibu soon, ama tunaweza kusubiri mpka Kombe la Dunia tuone kama tunaweza kufanikiwa kupata chipukizi.,
Hayo matatizo ya msingi ni yapi Mkuu., na kuhusu beki, ni nafasi ipi haijakuwa covered!?Kuna matatizo ya msingi wameshindwa kuya solve mpaka muda huu, Huyu Tchouameni ni for the future haendi kutatua tatizo lolote la sasa. Wanahitaji Beki moja nyuma ya ziada pamoja na right side forward. Backup ya Benzema nayo ni muhimu.
Hayo matatizo ya msingi ni yapi Mkuu., na kuhusu beki, ni nafasi ipi haijakuwa covered!?
Kuhusu Tchouameni, kwani Mkuu ulitaka club imesajili nani!? Kama Camavinga, Valverde, Rodrygo, na Vinicius wana tofauti gani na kijana, umri karibia wote wanalingana, na usisahau kuwa hao vijana ndio walitupa uhai kwa kiasi kikubwa msimu uliopita.,
Man., ishu ya forward wa kulia sio ishu kihivyo, kwasababu sio lazima tucheze hiyo 4 3 3, kuna uwezekano wa kuendelea na 4-4-2, tukimsubiri Rodrygo ajijenge vizuri physically, kwenye upande wa beki ina maana Militao atacheza na Rudiger huku Alaba akisogea upande wa kushoto., ama wakati mwingine wanaweza kucheza Watatu nyuma., vuta subra kijana.Timu bado inakosa forward wa uhakika wa upande wa kulia, Imemaliza msimu ikumtumia kiungo Valverde kukava ile position. Licha ya Redryogo kufanya vizuri bado ameshindwa ku prove kama ni stating material. Hata goli 10 za ligi ameshindwa kufikisha.
militao na Mendy wameonyesha udhaifu mkubwa sana nyuma, Amesajiliwa Rudiger, Lakini bado kuna wa ziada anahitajika awe wa kushoto au wakati ili wapate kucheza pamoja na Alaba. Kuendelea kumtegemea mmoja wao Kati yao hao mabwana wawili ni kulisubiria bomu zito, Mana hao jamaa ni aibu sana.
Kuhusu Tchouameni ni kijina mbichi anaweza kuwa na msaada mzuri, Ila kwa 100m Naamini ni utapeli. ILa muda ndio utatupa majibu mazuri.
Ancelotti inaonekana hana mpango nae.Sasa uyo sane itakuaje? Tunamchukua au ndo mzee anceloti hana habar nae?
Sane hawezi kubali kuja kucheza timu la mandezi Kama hiliSasa uyo sane itakuaje? Tunamchukua au ndo mzee anceloti hana habar nae?
Pep Guardiola,Klopp, Thomas Tuchel na yule sucked Manager pale PSG wakisoma komenti yako watacheka sana.Sane hawezi kubali kuja kucheza timu la mandezi Kama hili
Badoo hakili mpka zita waka sawaa,, sisi bado tup sanaNext season will be difficult to you guys in fact you are going to win nothing.
Uzi wa ugenini Safi kabisa Jackson996REAL MADRID View attachment 2296322
KIT 2022/2023
Jipatie Jezi mpya msimu 2022/2023 (Best quality)
SIZE
XL
XXL
BEI•••35000 Tsh
DAR NI FREE DELIVERY
MIKOANI DELIVERY NI 5000
TUNAUZA JUMLA NA REJA REJA
CALL••••0788929673
••• Jackson Yasson
••••" target="_blank" class="link link--external" data-proxy-href="/proxy.php?link=http%3A%2F%2FWww.instagram.com%2F996_onlineTz%5Bemoji4%5D&hash=177bb8c86cce3d1634bc8f67209b4f6d" rel="nofollow ugc noopener">Instagram
————KARIBUNI————View attachment 2296323
View attachment 2296324