HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,935
- 102,690
Wote hawatufaiTumelegalega kwa halland kwakumtegemea dogo matokeo yake tumewakosa wote
Wote hawatufaiTumelegalega kwa halland kwakumtegemea dogo matokeo yake tumewakosa wote
Ulisha achaga kufanya utapeli wako au bado unaendelea ?Hii timu Haina ushawishi Tena imeshakuwa takataka, Hadi Mbappe anawakazia? Kaazi kweli kweliii..
Kama Rüdiger alivyo tukaziaHii timu Haina ushawishi Tena imeshakuwa takataka, Hadi Mbappe anawakazia? Kaazi kweli kweliii..


Bado nataka nimtapeli na mama ako anipe uchiUlisha achaga kufanya utapeli wako au bado unaendelea ?
Uyo Ni Kama hazard tu atafloap ..sema kaondoka bure, tungeandika "mumepigwa"Kama Rüdiger alivyo tukazia![]()
Mkuu kati ya kombe na hela kipi kina faida kwa mbappe now. Maana ambalo hana ni hilo la Uefa Cl ana kombe la dunia tayari. Ana makombe ya ligi za ndani zaidi ya kadhaa nk naona yupo sahihi kwa maana km ni CHAMPIONS LEAGUE mwakani madrid hawa bebi maisha. Na ndio kwio. Bora abake zake PSG au angekuja timu za England km Chelsea, Liverpool au hata Man City au Man utd fresh tu.Hii ndio shida ya wazazi wako na familia kufanya maamuzi kwenye kila jambo lako
Wazazi wanaangalia utajiri tu bila ya individual achievement ya mtoto wao
Sure PSG is like City Still wanayo chance ya kutwaa champions league,Madrid akikosa mwaka huu kupata tena itakuwa ngumu,bora kabakia zake PSG!Mkuu kati ya kombe na hela kipi kina faida kwa mbappe now. Maana ambalo hana ni hilo la Uefa Cl ana kombe la dunia tayari. Ana makombe ya ligi za ndani zaidi ya kadhaa nk naona yupo sahihi kwa maana km ni CHAMPIONS LEAGUE mwakani madrid hawa bebi maisha. Na ndio kwio. Bora abake zake PSG au angekuja timu za England km Chelsea, Liverpool au hata Man City au Man utd fresh tu.
Kabisa mkuu. Na hapo pesa katengewa nzuri anataka nini zaidi ya kuchukua chake mapema.Sure PSG is like City Still wanayo chance ya kutwaa champions league,Madrid akikosa mwaka huu kupata tena itakuwa ngumu,bora kabakia zake PSG!
Ameleta tamaa tu ya pesa coz hata hapo PSG still bado alikuwa na mshahara mkubwa na hata akienda Madrid ndio alikuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani ni kama ilivyo kwasasa pale PSG baada ya mkataba mpyaMkuu kati ya kombe na hela kipi kina faida kwa mbappe now. Maana ambalo hana ni hilo la Uefa Cl ana kombe la dunia tayari. Ana makombe ya ligi za ndani zaidi ya kadhaa nk naona yupo sahihi kwa maana km ni CHAMPIONS LEAGUE mwakani madrid hawa bebi maisha. Na ndio kwio. Bora abake zake PSG au angekuja timu za England km Chelsea, Liverpool au hata Man City au Man utd fresh tu.
You have been saying this for years yet all PSG have won is a shit league trophy and cup…I haven’t seen PSG team win the UCL and at this rate i doubt PSG will manage to keep Mbappe because players play for your team for money only and not for pride…without a bit of pride you can’t win those trophiesSure PSG is like City Still wanayo chance ya kutwaa champions league,Madrid akikosa mwaka huu kupata tena itakuwa ngumu,bora kabakia zake PSG!
Offer ya mshahara Wa madrid unaijua ww popoma ni £500milion kwa miaka 5,same to PSG £300milion kwa miaka 3 ila walicho ongeza PSG ni signing fee tu na kumpa Umungu mtu katika klabu yao na majukumu ya sporting director pamoja na kocha kumpa mtoto mdogo MbappeWe jamaa akili yako haiko sawa. Maisha ya mchezaji kwenye soka ni mafupi sana. Na mchezaji anacheza mpira ili apate kipato cha kuendesha maisha na familia yake + maendeleo nje ya uwanja.
Kwahiyo kama PSG wanampa bilioni 2 kwa wiki aache aende Madrid akachukue milioni 500 kwa wiki. Inaingia akilini kweli?
Makombe ni nini mbele ya pesa?
Mbappe yupo sahihi kubaki PSG. Ubillionaire kwanza, makombe baadae
By the way alishabeba world cup.
Kilichawaharibu Manure tangu enzi za Alexi Sanchez ni hiyo behaviour. Itagawa timu na dressing room haitakuwa na solidarity ya kutosha kushindana internationally a hata locally. Synergy ndani ya Manure ilipungua sana tangu asajiliwe Sanchez kutoka Arsenal na mshahara wa kufuru. Akaja Pogba akaongeza donda. Wakaanza mgomo baridi uwanjani. Unawaona kabisa hawakimbii wala hawakabi. Akaja CR7 ndio kabisa hata akina Bruno fuse ikakata kabisa. Bruno alisikika akisema anafanya kazi kubwa kwenye timu kwa hiyo anataka kuongezewa mshahara na pia baadhi yao wakihoji hao wanaolipwa sana wanafanya lazi gani zaidi yao?PSG is behaving so childishly here. How do they want other players to feel. Giving all glories to just one player doesn't make others have a sense of importance.
Huu utopolo Liverkuku lazima awakamatie chini ..yani mutabinuliwa ile staili ya Hamza kafia ubalozini ..uyo benzema atalambishwa mchanga na akina Mane na Sallah![]()
Yaani amepewa mambo ya messi kule barca duh. Acha abakiAmeleta tamaa tu ya pesa coz hata hapo PSG still bado alikuwa na mshahara mkubwa na hata akienda Madrid ndio alikuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani ni kama ilivyo kwasasa pale PSG baada ya mkataba mpya
Pia Madrid walimpa Mkataba Wa mauzo ya Image rights zote za Mbappe......kwahyo signing fee na Salary ya mwaka mzima ni offer ambazo hazikutofautiana sana kati ya PSG na Madrid
Kilichoongezeka kwa PSG ni Mbappe kuingia kwenye bodi ya wakurugenzi Wa PSG na atakuwa moja ya watu muhimu ndani ya klabu katika maamuzi na kupendekeza kocha gani asajiliwe au afukuzwe
-Atakuwa na say kwa sporting director Wa klabu
-He can approve signings and sales kwa wachezaji
Hayo ni miongoni mwa vipengele vya mkataba mpya aliosaini Jana