Hala Madrid tujipongeze mabingwa wapya wa ligi
Hii itakua ya kikatili sana.Sasa hivi hatutaki hata point moja, Barcelona are going to drop points on next game then we're champions![]()
Mpaka sasa ana point ngapiHala Madrid tujipongeze mabingwa wapya wa ligi
Kazi kwisha kumbe, nguvu zielekezwe UEFA sasa ukizingatia hakuna tena pressure ya LaLiga! sikufuatilia matokeo ya Barca, kumbe alikung'utwa aisee!Naitaji point 1 kwenye game 5 zilizo bakia
Tena hata hiyo pointi moja yaweza isihitajike kama Blaugrana watadroo au watapoteza mechi moja tu kati ya 5 walizobakizaNaitaji point 1 kwenye game 5 zilizo bakia

Timu nzima inamtegemea benzema ,Sasa hii ni timu au genge la wahuni tu![]()
Timu nzima inamtegemea benzema ,Sasa hii ni timu au genge la wahuni tu![]()
Timu nzima inamtegemea benzema ,Sasa hii ni timu au genge la wahuni tu![]()
Ukipata angalau hata Uefa cup 1 tu njoo tujadili mpira.
Otherwise acha kelele.
Los Blancos Mtatoboa au mtatobolewa?