Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kumshika Benzema hilo ndio tatizo, kwasababu yule mzee ni baller. Yule mpira anaufuataga chini halafu anakuja nao juu huku anatoa pasi. Mpira ukimfikia Vini Jr ni mbio na nutmeg, mabeki viherehere wote washampoteza Big Benz yuko wapi. Wakishtuka wayaaa...
Hili movie linatisha [emoji23]
 
Yaani RMA ni ya kupaki bus kwa Chelsea? kua serious basi
Hii game tunapindua meza mapema sana kipindi Cha kwanza tunaongoza BAO mbili za fasta Ili kuwatoa mchezoni, huyu benzema tushaunda kamati ya roho mbaya kuhakikisha hafurukuti. Kipindi Cha pili tunazama na mbinu za kushambulia kwa kuvizzia Ili kuwa muda murukeruke ..halafu msumari wa tatu tunawatandika tunamaliza game ..mpira ni 3 bila subiri utaona TU..
#CFC💙💙💙
 
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Hiii, huo mkakati kabambe S/BRIDGE ulishindikanaje?
 
Hii game tunapindua meza mapema sana kipindi Cha kwanza tunaongoza BAO mbili za fasta Ili kuwatoa mchezoni, huyu benzema tushaunda kamati ya roho mbaya kuhakikisha hafurukuti. Kipindi Cha pili tunazama na mbinu za kushambulia kwa kuvizzia Ili kuwa muda murukeruke ..halafu msumari wa tatu tunawatandika tunamaliza game ..mpira ni 3 bila subiri utaona TU..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mnatupiga tatu sisi tumetulia tu
 
.
IMG_20220412_172636_413~2.jpg
 
Back
Top Bottom