SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,410
Sikumbuki, nakumbuka tu juzi hapa nimekupiga nne hapo Bernabeu kwa mpira mwingi mno!Kabla ya kushinda hiyo mechi mara yenu ya mwisho kushinda dhidi yetu ilikuwa mwaka gani?
Kesho mjikaze basi kwa hao mafala wa England. Maana wakipatiaga team moja ya Spain, wanapiga kelele kama vile wametupiga wote!



