Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Mashabiki walishaanza kununa, ila hili goli la pili wameshangilia, goli moja la mipango mingi sana.
Man Of the Game.....One Goal Two AssistReal Madrid 3-0 Deportivo Alaves
90'(p) Karim Benzema

Ushindi I wenyewe tunaohitaji ni shida tupu, sijui hata tunacheza nini kiukweli., Ancelotti anatakiwa kuwa makini, asipoangalia anaweza kujikuta hamalizi msimu.,
Juzi Ancelotti kwenye press conference aliahidi mabadiliko ila sioni alichoahidi so far.,Huu umakini wa hapa mbele bado haujakaa sawa sawa...tunamchukulia poa sana huyu kipa wao(Luca) wakat ni mzuri,hatumjaribu kwa umakini lakin pia hata mipira haikai mbele huku.
Upo sahihi,casemiro amechoka...unajua kuwa kwenye peak kwa muda mrefu nako ni issue,huyu sa hv anakaba sana na macho na akipata mpira anatoa pass ili mradi mpira utoke mguu kwake.Juzi Ancelotti kwenye press conference aliahidi mabadiliko ila sioni alichoahidi so far.,
Casemiro sijajua kama amechoka ama ndio uwezo umepungua ama ni nini., kwasababu ninaona anapiga pass mkaa nyingi sana.
Na amekuwa akifanya hivyo mara kibao, Ancelotti aangalie sasa namna ya kumpumzisha, yupo Camavinga anaweza kucheza hilo eneo japokuwa bado hajakomaa,Upo sahihi,casemiro amechoka...unajua kuwa kwenye peak kwa muda mrefu nako ni issue,huyu sa hv anakaba sana na macho na akipata mpira anatoa pass ili mradi mpira utoke mguu kwake.
Ancelotti amekariri tu wachezaji., jamaa kama idea zimeisha hivi.,Sijui kwa nini Valverde anaanza bench wakt ana utimamu zaidi kuliko casemiro nyakat hizi
Afadhali man, tumewatafuta kweli kweli mpaka kupata hili goli.,Gooooooal....Benzema